Usisaidie masikini, acha wafe

 
Nadhani hata habari hii ina laaana maaana aliyeiandika amekiri ni mlaaniwa.
Maisha yapo ili tujifunze
When Kagera region was struck by an earthquarke hundreds of people dead and without shelter and the Magui government collected money from around the world. when M went there he told the people he did not order the earthquark to strike them so no money for them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tubebeane mizigo... Tusaidiaje, tutiane moyo, tufarijiane na tusaidiane.

Sikutegemea Kama Kuna wanadamu Kama huyu mleta bandiko.

Nimesikitishwa Sana na hili bandiko.
 
Ndo maana hua tunaambiwa Tumuogope Mungu na tuwe na akiba ya maneno.
 
Mkuu..hao matajiri wanaendaga huko kanisani/misikitini Kufanya Nini..maana wanautajiri...
 
Ina maana..Matajiri Sio wachawi, hawasengenyi..Sio wanafiki .

Hizi sifa mbona Ni za mwandamu na Wala Sio za mwanadamu masikini.
 
Maskini wengi ndio Wana roho mbaya hufurahia majanga ya wengine, hufurahia kuzalilisha wengine, hawana utu pia, matajiri hawana Mambo ya kijinga jinga
Wewe unajiweka kwenye kundi la Matajiri?.. Yaani hao masikini wewe umezidi Nini?
 
Mada fikirishi sana hii... Mleta mada kama nilivyomuelewa hajazungumzia umasikini kipato bali umasikini wa roho.
Mtu hata kama ni ana mali nyingi kama ni masikini wa roho haoni tabu uwezo wake kuwa anguko la wengine. Nawafahamu matajiri wengi wengi waliofariki wakiwa hawana mali zozote na wapo masikini waliokufa wakaacha mapesa kwenye mabenki(sijui kama ntaeleweka hapa).

Soma, tafakari, jitafute na uchukue hatua.

Naunga mkono hoja
 
Nilicho kielewa hapo zinaongelewa tabia za kimasikini na sio kiwango cha pesa kwa maana hyo unaweza kua na pesa kidogo ukawa na tabia za kitajili vile vile unaweza kua na pesa nyingi ukawa na tabia za kimasikini kwahiyo msiumie sana wakuu jitafakari tabia zako zina kaa upande upi
 
Nimesikia,nimecheka mpaka mbavu zimeuma,
Umeongea Mengi,ila na uongo umeweka mwingi,
Kwanza hakuna mtu anazaliwa maskini,au tajiri,wote tunazaliwa tukiwa hatuna kitu,hata ukizaliwa kwenye familia ya Raisi,haimaniishi hizo mali ni zako.
Pili umaskini sio kilema,tunazaliwa maskini,lakini baadae unaweza kuwa tajiri.
Nikuulize Diamond alizaliwa maskini,sasa hv na ukwasi wote alionao Bado ni maskini?
Kinachomfsnya mtu maskini awe natabia katili,kijicho,kupenda kuona wengine wakiumia,ni msongo wa mawazo tu,hujiona yeye hana kitu,kwahiyo akiona wengine wasio na kitu,huona faraja,lakini sio wote,wapo watu maskini,hawana kitu,na Wana tabia njema sana,wanachapa kazi ili siku moja watoke kwenye umaskini.
Wapo marajiri wengi tu wenye tabia za kishetani,alikuwepo kada mmoja wa ccm,alikuwa na kiwanda Cha kutengeneza ARV,akawa anatengrneza ARV feki na kuziuza,unajua ameua watu wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…