Usisaidie masikini, acha wafe

Kweli kabisa Mkuu ...Maana Mimi nikijiangalia huo untajiri Wala Sina..lakini sijioni Kama nina laana.
 
Kweli kabisa Mkuu ...Maana Mimi nikijiangalia huo untajiri Wala Sina..lakini sijioni Kama nina laana.
Laana ni maigizo tupu, inamaana kwanini hao maskini waliumbwa pa1 na matajiri na kuwekwa kwao hapa duniani ikiwa wao hawana laana, si wangeishi ktk sayari yao pekeyao basi kuepuka huo ushetani?

METHALI 22:2
"Tajiri na maskini hukutana pamoja; Bwana ndiye aliyewaumba wote wawili."

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Exactly πŸ’―

Umeelezea vyema Mkuu,
 
Yatima sio maskini
 
Aisee![emoji848][emoji35][emoji35] maskini![emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Tofauti yako mtoa mada na shetani ni vile wewe unaonekana na mwenzio haonekani lakini mna roho linganifu,haiwezekani tusisaidie maskini maana vitabu vya Mungu vinasisitiza upendo na kuwasaidia wenye shida.
 
Mkuu unasema yeye anaonekana,umeshawahi kumuona?inawezekana kabisa huyu akawa ni shetani kwani hatujuani humu,tunatambulika kwa hiden identity...
 
mzee umetudanganya.yule lazaro alikuwa anakula makombo mlangoni kwa tajiri mmoja lakini mwisho wa siku Lazaro alienda mbinguni na tajiri motoni.mimi kwenye kuoa masikini naoa tuuu
Kwani hukumu ya motoni na peponi tayari?? Yani hapa tulipo kuna watu tayari wapo peponi wengine motoni ,sio kwamba mpaka mwisho wa dunia yesu atakaporudi ndio atakuja kuhukumu??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usijifananishe na famailia ya yesu,wale walikua wakishua,we ushawahi kuona wapi masikini anakimbia nje ya nchi,yesu alikimbilia misri alikuwa anatafutwa na herode,unadhani gharama za kwenda kuishi ughaibuni kwa masikini ni rahisi??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unasema yeye anaonekana,umeshawahi kumuona?inawezekana kabisa huyu akawa ni shetani kwani hatujuani humu,tunatambulika kwa hiden identity...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee inawezekana ni shetani mwenyewe kaposti uzi,asante kwa kunishtua.
 
Mh!!!! Wakishua wakati walikua wanatumia punda, farasi na miguu kwa ajili ya kuhama kutoka eneo moja kwenda lingine.
 
Hiz lawama za umaskin tu huna lingne....acha lawama tafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…