Usiseme hali ni ngumu, sema hali yangu ni ngumu. Hivi hizo pesa huwa mnaziokotea wapi?

Usiseme hali ni ngumu, sema hali yangu ni ngumu. Hivi hizo pesa huwa mnaziokotea wapi?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Mchana wa leo nimefungulia Radio moja ya dini ili nipate kula neno kwa kuwa nilikuwa sijala chochote kitu kabisa kutokana na hali ngumu ya kimaisha

Ghafla nikaskia," fulani bin fulani aliahidi laki tano siku ya jana usiku, leo ametoa laki tano

Kiitikio: Alowanishwe kwa damu ya Yesu".

Sijakaa sawa nikasikia," Genta bin Mycine aliahidi 200k, ametoa 900k".

Ile napiga mwayo mnene, nikasikia,"Equation x ametoa 1m

Kiitikio: Baba, baba uyo! Baba, baba uyooo Baba".

Usiseme hali ni ngumu, sema hali yangu ni ngumu.

Hivi hizo pesa huwa mnaziokotea wapi?
 
Tengeneza vyanzo vya kukuingizia pesa usikae kizembe Pesa inatafutwa kwa juhudi sio unalaza damu tu.

Maisha Ni magumu Sana.
 
Back
Top Bottom