Usiseme sikukwambia hii ndio hali halisi

Usiseme sikukwambia hii ndio hali halisi

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Umemuonyesha Unampenda,umesota weee kumtoa
Lunch na Dinner lakini wapi..Meseji anajibu
akijisikia....Ukimwambia I miss you anajibu
"K"...Ukipiga Simu hapokei na akipokea anaongea
kama Mtu anayejiandaa kufumaniwa na mke wa
Mwanajeshi ili ukate simu...Kwa kifupi anakuringia waziwazi...Baada ya kuona hutakiwi ukapunguza
Mawasiliano,ukaona isiwe tabu..Mwanamke hayuko
peke yake..Uve shown her enough Love but she has
taken you for granted...MARA GHAFLA baada ya miezi
2 umempotezea anaanza yeye sasa...Meseji..
Simu...Appointments..Usipomjibu analalamika...Y uleyule aliyekuwa anakujibu kwa kiburi ONGEA
FASTA NNA KAZI..
Ukiona Demu anarudi na Mapenzi ya Spidi hivi kama
Intaneti ya SMILE baada ya kukukataa na kuleta pozi
zamani KUNA MAWILI:
1.Huko alikokuwa anakuringia AMETOSWA sasa amekumbuka kuna fala wake ulikuwa UMEOZA
Kwake anakucheki kama BACK UP
2.Kodi yake imeisha sasa anajiandaa kujilengesha
kwako,Ukipiga tuuu utasikia "BABE KODI YANGU
IMEISHA na mwenye nyumba mkali kweli,if you really
love me please help"....Kodi Sh ngapi?...Milioni 3...Bora nimnunulie babangu VITZ aniwekee mikono ya
baraka!
 
Aisee utafikiri umeniona vile kwa ufupi nilikuwa katika relation na ticha mmoja hivi wa primary shule flan tmk huko,nime mjali sana kwa plan zangu ningeoa huyu bila ubishi,sister DU mizinga mingi sana pozi kibao pesa mbele mapenz baadae maringo ndio usiseme hana ushirikiano wowote zaidi ni kujifanya mlokole na upole wa ku act akiwa na shida ukimpa hela hakutafuti wala hana time maringo mwanzo mwisho mwaka mmoja sasa nikaona isiwe tabu ngoja nikae pembeni.Juzi kodi yake imeisha huko anakoishi na mwenye nyumba hamtaki karudi mbio kwangu,namim nimeweka mgomo sitoi msaada tena kila dk ni cm na txt akitoka job break kwangu kwake haendi.
 
Umesema huyo dada ni mlokole?
 
Back
Top Bottom