Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa kuliamsha dude basi kurudiana ni rahisi kama kumsukuma mlevi

Nimeamuwa kuweka sawa historia kwa sababu kumezuka katabia siku za karibuni naweza sema"kakijinga"Eti wanasema mashabiki/fans wa Alikiba ni wale ambao wanamchukia Diamond kwa sababu ya mafanikio yake na mashabiki wengine wanamchukia kutoka kwa waliokuwa ex wake.Hii ni kauli ya kujifariji na Coward. Kama umeanza kusikiliza mzika start 2010's sitashangaa uku support hiyo kauli....

Labda niwakumbushe.Alikiba alianza mziki rasmi mwaka 2005 kwa kupata collaboration kutoka kwa wasanii waliomtangulia kama Dully Syksi,EB by skills na wengine wengi.Mwaka 2006 aliaachia wimbo wake mwenyewe official song ulioitwa Cinderella,nyimbo was a mega hit kwani àliweza kuingia kwa miguu miwili katika tasnia ya bongo fleva. Baada ya hapo nyimbo zilizofuta zilikuwa ni hit songs kama vile Nichumu,Msela,Nakshi Nakshi,Njiwa,MacMuga,n.k.mwaka 2008 ilikuwa ni bahati kwake hakuna msanii ambaye hatamani kufanya kazi na legend kama R.Kelly hivyo kupitia project ya One 8 msanii alikiba alifanya kazi na Wasanii waliokuwa wanafanya vizuri kipindi hicho.Project hii iliweza kumtambulisha Alikiba kimataifa zaidi kuanzia Afrika and Europe,US. Nyota ya alikiba iling'aa sana miaka hiyo kabla ya kuachia ngoma ambazo zina hit hadi leo kama vile,Mapenzi yana run dunia,Single boy,My Every thing,na Dushelele.
Late 2009's aliacha mziki/kupumzika katika tasnia ya bongo flava.Kuanzia mwaka huu ndipo kizazi kipya cha bongo fleva kiliibuka wasanii kama vile Marlow,Barnaba,Amini na Diamond n.k waliibuka.
Kwa upande wa Diamond ni msanii anayejituma sana kwani tangu alipoanza rasmi mzika mwaka 2010 graph yake inapanda siku hadi siku.Ni msanii ambaye amepata mafanikio makubwa tofauti na alionza nao.
Kumbuka tangu Alikiba anaacha mziki kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini kwa blood fans wake.Kuna wakati alisikika akisema kati ya moja ya interview zake kuwa"kizuri kikikosekana kibaya kitakuwa kizuri"mwisho wa kunukuu.Hivyo tangu amerudi rasmi katika tasnia ya bongo fleva ameweza kurudisha heshima na uwezo wake wa awali.
NOTE;
Mashabiki wa Diamond walikuwa mashabiki wa Alikiba kabla ya kuacha kuimba so sishangai leo kurudi katika asili yao ya awali.Alikiba na Fans wake ni mtu na Ex wake.
Asante

great thinker
 
Hili gazeti bora ungefungia maandazi.
 
Mi sikuwahi kuwa shabiki wa yeyote hapo ila diamond alimuacha mbali kiba nae siku hizi mond anajichanganya sijui ndo yale ya tembo akisifiwa vya kukopi vingi
 
Ni kweli na si ni ZILIPENDWA ndo mamaaa,AU HUJUI HATA SIMBA WA MOROGORO NA MR2 SUGU Ttulikua fans wake,but naye ni ZILIPENDWA kwa sasa KILA NABII NA NYAKATI ZAKE,HILO NDO LINAMUUMIZA KIBA,HAYA MUACHE AENDELEE KUKALISHWA
 
Single boy ilitoka mwaka gani pamoja na my every thing, unataka kutuambia kipind mond anatoka kiba alikuwa tyar ashapumzika tyari. Kiba anabebwa na huruma za wanajamii hata mtu kipanga darasani huwa anachukiwa na wanafunzi wenzie. Domo jeshi la mtu mmoja kiba ni jeshi la watu kibao wenye majina yao wameungana (mange, wemasepetu, jokate, team hamissa n.k) na bila wao kiba hamna kitu lakini mond kazimam yeye kam yeye n shabiki zake lkn bado kamasi anawatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shabiki wa Kiba, wapo mashabiki wa Diamond na maadui wa Diamond. Ukiwa adui unaenda upande ule
1. Wema
2. Jokate
3. Mange

Endelea .... hao wote baada ya kuacha kupigwa kipara wakahamia upande ule.

Pia kuna kundi la vijana wenzake "Wateketeke" wanatoa support kubwa.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] na ile kwaya ya kwenye zilipendwa Vp mond kaishiwa pumzi aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula [emoji109]
 
Hao akina hamisa,Joketi,wema mnawajuwa nyinyi wanaume wa dar tu kwa huku mkoani tunaangalia kazi.We Dada zako na kiba nani kaanza fanya sanaa

great thinker
 
unaweza kuniambaya hao uliwataja wanafanya kazi gani?Vipi mbona mashabiki wa mondi hawampendi kiba unaweza kuniambia tatizo

great thinker
 
Hatuna tatizo na Kiba. Ila fans wa Kiba wanatatizo na Diamond
Nenda kasome comment YouTube za wenzako alafu njoo tuendelee,au umesahau wakati Mondi ana diss kiba kwenye track ya fid mlivaa kibwebwe kushangilia

great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…