Usishangae P. Diddy kukimbilia Dubai au nchi nyingine

Usishangae P. Diddy kukimbilia Dubai au nchi nyingine

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Dubai ni sehemu moja safi hata ukiwa tapeli,mwizi,mtakatishaji pesa kwako ni sehemu nzuri sana.

Sasa ili lilomkumba kesi za ngono kwa nchi za wenzetu ni kesi kubwa kama ilivo mfungo pale visiwani, kesi hizo unaweza kuozea jela kuliko za wizi na mambo mengine.

Mfano mzuri South Afrika ukimnyanyasa shoga,kubaka ijalishi mkeo au mtoto ni habari kubwa kuliko habari ya vifo vya bunduki.

Kwa ili P.Diddy USA ndio bye bye kwake.
 
Back
Top Bottom