Usishangae sana kashangae kwa mpalange

Usishangae sana kashangae kwa mpalange

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Haya maneno yanatamkwa sana na watoto wa mjini siku hizi.

Zamani ilikuwa ukimuona wakuja anashangaa shangaa wenyeji au wazawa walikuwa wanasema acha kushangaa wewe mbwiga kashangae feri shilingi inazama lakini meli haizami.

Siku hizi mambo yamebadilika sio feri tena kwenye maajabu!
Maajabu yapo kwa mpalange
Acha kushangaa shangaa wewe Dada/kaka kashangae kwa mpalange!

Kwa mpalange ndo wapii? Kuna maajabu gani huko tuje tushangae bila wenyeji kutushangaa!?
 
Vibinto vya ud vinarufi kufanya sups sooo. Mida mibovuu kugegedana...
 
Back
Top Bottom