Usishindwe kudhubutu

Usishindwe kudhubutu

kihuba

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
264
Reaction score
265
Ndugu yangu tofauti kubwa kati ya mtu aliyefanikiwa na wengine sio *Elimu* wala *kipaji*,
bali ni kushindwa *kuthubutu*.

We endelea kukimbiza mbawa zako kama *kunguru mwoga*

‍♂endelea kuogopa *risk* [emoji144][emoji144]‍♀

‍♂ endelea kutafuta kazi zenye *security[emoji61]*

‍♂ endelea kuilaumu *serikali* kwa ugumu wa maisha yako,

‍♂endelea kusubiri kupandishwa *cheo* na kuongezewa *mshahara (increment)*[emoji161]

‍♂ endelea kuficha pesa zako kwenye *kibubu* badala ya ku *invest*, [emoji383]

‍♂ endelea kuwa na msimamo *hasi (negative mind set)* juu ya biashara ya *mtandao*[emoji68]‍[emoji335][emoji67]‍[emoji335][emoji335][emoji390]

‍♂endelea kuleft kwenye ma group ya *fursa* mbalimbali, *uwekezaji* na *ujasiria mali*, [emoji125]‍♀

‍♂endelea kujoin kwenye ma group ya *udaku* na ku *like* habari za *umbea* face book na Instagram[emoji736]

‍♂endelea tu kusoma vitabu vya hadithi za malavidavi[emoji173][emoji180] na udaku badala ya kusoma vitabu vya ujasiriamali na uchumi[emoji385][emoji383]

‍♂ endelea kusikiliza[emoji101] ushauri wa watu *wanao kuvunja moyo*[emoji174] na *kukukatisha tamaa*[emoji17],

‍♂endelea kupuuzia ushauri wa watu wanaokutakia *mafanikio* na kukupa new *ideas*[emoji123]

[emoji16][emoji16]
 
Hongera mkuu, nilitegemea mwisho ungesema tujiunge na biashara yako ya mtandao..
[emoji1306][emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
sijui mimi mshamba hii biashara ya mtandao siikubali kivile naona kama haitoi uwezo wa mtu kukua na kufikiri pia kuwa mbunifu!
hebu nishambulieni mnitoe ushamba kidogo nami nitajibu bila woga hapa hata ukitukana sintaogopa nimekaa bandarini miaka zzaidi ya 10 hivyo woga haupo
 
biashara ya mtandao ni nzuri ila uwe kwenye circles za mwanzoni ila wale wa huku chini chini aisee wanawanufaisha wa juu yao sana.
 
biashara nzuri ni ya uzalishaji... mambo ya mitandao ni ujanja ujanja tu
 
biashara ya mtandao ni nzuri ila uwe kwenye circles za mwanzoni ila wale wa huku chini chini aisee wanawanufaisha wa juu yao sana.
kwa hiyo ili ufike juu kwa haraka unahitaji kuwa na mtaji mkubwa sana
 
kwa hiyo ili ufike juu kwa haraka unahitaji kuwa na mtaji mkubwa sana
sijui maana sijawai kufanya ila nahisi ni mtaji na muda ambao umejiunga,
ukisikia hiyo biashara ndo imeanza changamka uianze kabla haijawa network kubwa sana ili wanaokuja wakkute.
 
Back
Top Bottom