'Usisome Hapa'

Tukumbuke kaandika hili bandiko jana jumamosi kati ya saa moja na mbili asubuhi, na tukumbuke juzi Ijumaa kulikuwa na send off nyingi tu, tutajuaje, labda kafakamia huko kila aina ya kinywaji (Valuu, Safari, Champagine, John Walker etc) pamoja na zilizotengwa kwa ajili ya high table. Alipotoka huko kwenye sherehe usiku saa nane akaingia mtandaoni huku maluweluwe kibao kichwani na kuanza na heading "Usisome hapa", na halafu akaenda ku-cut and paste mada kuu toka kwenye My Document, mada hii aidha ni yake ya awali au kachakachua toka hukoooooooooooooo anakokufahamu!!!! Msameheni alikuwa hajui atendalo, ila mpeni hongera mada kuu inatoa ujumbe mzito na wa kuelimisha wazazi na walezi walio makini!!!
 

Oct 2010????? Haiiiii uwiiiiiiii yehuuuuuuuu ote mayiiiiiiiiiiiiiii
 

Kabisaaaa puuumbaaaaaa ameongea
 
Jamani me sijasoma, nimejump tu kwenye comment, vipi kwani ameandika nini jamaa? unajua wakati mwengine ukubwa dawa, na masharti ni muhimu, nimeogopa kupofuka macho.

Kituku ni afadhali hujasoma maana ni TAKATAKA na PUMBA tu zimejaa wala huwezi kuchangia kitu tena UPUUZI MTUPU
 
Hivi ujumbe ulio kusudia umefika kwa walengwa?

Labda nianze na wewe, ujumbe umeupata? Binafsi naamini hata wewe ni mlengwa haijalishi una ama huna mtoto. Waswahili wanasema, 'mtoto wa mwenzako ni mtoto wako!'. Hata hivyo naamini wapo wachache wameupata ujumbe. Nahitaji japo wachache tu kuelewa si lazima wote kuelewa kwa wakati mmoja. Kuna faster learner na slow learner. Slow learner sikuwakusudia kwa sasa kwani huwa wasumbufu sana na wanaweza wakasababisha hata wengine kutoelewa ndiyo maana nasema, katika darasa langu hili siwataki, wataelewa kupitia faster learner. Unadhani waliogundua ndege walieleweka mwanzoni? unadhani walikuwa wengi sana kutimiza ndoto yao?.
 
hivi hii habari inahusiana na mapenzi kweli.....au mimi ndio kilaza
 
hivi hii habari inahusiana na mapenzi kweli.....au mimi ndio kilaza

Bora umeuliza. Watu wengi huwa wanafikiri humu ni mapenzi tu lakini sikweli. Ukisoma title ya forum unaambiwa 'Mahusiano, Mapenzi na Urafiki'. Binafsi nazungumzia mahusiano, mapenzi, na urafiki baina ya mzazi/mlezi na mtoto.
 
Nimekuelewa na watakuelewa tu kama wanataka maana maudhui ya uliyoandika yanaendana na aina ya ushauli wa walezi wengi na heading yako ime prove kuwa kumukataza tuu bila detailed reasons inakuwa ni motivator ya kujaribu alichokatazwa.
 
Nimekuelewa na watakuelewa tu kama wanataka maana maudhui ya uliyoandika yanaendana na aina ya ushauli wa walezi wengi na heading yako ime prove kuwa kumukataza tuu bila detailed reasons inakuwa ni motivator ya kujaribu alichokatazwa.

Thanks for understanding. Naamini Tanzania itajengwa na watu waelewa kama wewe. Everyone must understand that, Tanzania is built on the backs of those before us and that all of us have a responsibility to the generations that came before us and to the generations after us to leave Tanzania a better place to live. Once again, thank you.
 

thread yako ni yenye kujenga jamii na kutoa angalizo,nashangaa watu wengine kuiponda kwa sababu ya bongo zao zilizoganda!!labda ni kweli kuna wengine ni slow learners kama ulivyosema na kuna wengine hawatoelewa mpaka mwisho wa dunia. Watu kama hao tuna wapotezea tu.
 
Abraham this is a very intelligently posted thread. Ni bahati mbaya sio wote wenye upeo sawa. Umejaribu kuonyesha kwa mfano halisi point uliyoitoa katika mada! Exellent stuff man. Slow learners point ya Abraham ni kwamba tusiwakanye watoto bila kutoa sababu maana udadisi wao wa kwanini tukataziwe unawafanya wafanye hilo hilo walilokatazwa. Mfano ni kama yeye alivyoandika usisome hapa wengi wetu TUKASOMA maana tulitaka kujua kwanini. CURIOSITY KILLED THE CAT AND IT MIGHT KILL OUR CHILDREN TOO. Swala la kujadili sasa ni unawafundisheje kua ngono,ulevi,uvutaji ni mmbaya na wakuelewe wasijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…