Usitafute Madaraka kwa kuumiza watu

Usitafute Madaraka kwa kuumiza watu

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.

Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.

Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.

Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
 
Wewe naona bado u mtoto mdogo sana. Toka huko katalamba uje mjini. Faulo maishani zipo sana..

Hata ulaya unavyoona marekani anawakalia watu kooni ndo maana halisi ya ubepari
 
Dhuluma na uonevu ni ubatili na dhambi kubwa sana mbele ya Mungu.
Kwa laana hii malipo ni hapahapa duniani kama sio kwako ni kwa watoto na wajukuu wako!
 
Kama huyo Afande anajiona mbabe ni kwanini asijiunge na JW halafu aende DRC akapigane na Vikundi vya Kihutu tuone Ubabe wake halafu akirudi SALAMA ndio apandishwe Cheo.

Sasa kuwapiga Watanzania wenzake BILA YA SABABU ili apandishwe Cheo ni KULIAIBISHA TAIFA.
 
Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.

Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.

Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.

Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
ni muhimu zaidi kwa wanasiasa kuepuka kupanga matukio ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa....

hatua kali muhimu zitachukuliwa dhidi yao, bila huruma, kwani kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi ni jambo lisilo vumilika nchini....

jeshi imara la police halitasita wala kubabaika kuchukua hatua kali sana za kudhoofisha, kudhibiti, kusambaratisha na kuyatokomeza kabisa magenge ya kihalifu yanayotafuta uongozi kupitia siasa na mikutano ya hadhara..

hakuna mwenye haki ya kuhatarisha wala kuharibu umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania 🐒
 
Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.

Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.

Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.

Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.

Kazi ya Awadhi Haji ina Baraka zote za Maza.....!!

Kuna watu wanataka kumsafisha au kumtetea Maza. Lakini kilichofanyika Mbeya ni kwa Baraka au maelekezo ya Maza. Period.
 
Kwahiyo kaamua kuzichambia 4R zake mwenyewe?!
 
Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
Kama muda bado upo basi muache aendelee kuponda vichwa vya wapinzani mpaka miaka ya mbele atajirekebisha.

That was a retarded comment!

Anapswa kuwajibishwa sasa! Period point blank.

Muda bado upo, unajua anastaafu lini ?
 
Back
Top Bottom