Wewe naona bado u mtoto mdogo sana. Toka huko katalamba uje mjini. Faulo maishani zipo sana..Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.
Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.
Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.
Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
Ona nawe unaonesha ujinga wako hapaWewe naona bado u mtoto mdogo sana. Toka huko katalamba uje mjini. Faulo maishani zipo sana..
Hata ulaya unavyoona marekani anawakalia watu kooni ndo maana halisi ya ubepari
HahahaNa Samia akimpa huyu mwendawazimu Awadh huo u IGP atavuna laana vile vile
ni muhimu zaidi kwa wanasiasa kuepuka kupanga matukio ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa....Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.
Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.
Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.
Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.
Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.
Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka ukayakosa iwe kwa kifo au kwa kuondoshwa.
Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.
Kwahiyo kaamua kuzichambia 4R zake mwenyewe?!Kazi ya Awadhi Haji ina Baraka zote za Maza.....!!
Kuna watu wanataka kumsafisha au kumtetea Maza. Lakini kilichofanyika Mbeya ni kwa Baraka au maelekezo ya Maza. Period.
Kwahiyo kaamua kuzichambia 4R zake mwenyewe?!
Kama muda bado upo basi muache aendelee kuponda vichwa vya wapinzani mpaka miaka ya mbele atajirekebisha.Awadh Juma Haji jirekebishe muda bado upo damu za watu sio nzuri hata kidogo.