Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,115
Reaction score
2,231
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
 

uko sahihi sana mkuu
 
kununua kiwanja mapema ni jambo la muhimu sana.. sababu miji inakua sana na ukichelewa utauziwa kiwanja kwa mamilioni..

ila kujenga mapema kama kipato sio kikubwa ni mateso ya miaka mingi sana na sana
 
Kununua gari la kutembelea sikushauri ila kwa hali ilivyo wakati huu ukipata kahela kamawazo ndugu yangu JENGA TU hata utabaki ukitazama mjengo wako hapo nyumbani kuliko kuwaita TRA karibu na wewe, utajikuta 60% ya mtaji imekwenda hazina kama kodi kupitia TRA upepo bado sio mzuri kwa wanaoanza bishara hali ni tete bado.
 
Kwahiyo wewe hujaanza unasubiri hali itengamae?

Una umri gani?,
 
Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
 
USIKARIRI.

Kila mtu ana Timeframe ya nini afanye katika muda Fulani na nini asifanye.

Kila mtu ana KIPAUMBELE chake in a certain period of time .

Maisha hayana FORMULA. Nitapitia Njia yangu na SITAFELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…