Kwani hizo alizipataje aahindwe kupata nyingine? Na je biashara ikiyumba si afadhali hata uwe na kiwanja unakiona and you can be proud of it kwamba nimewekeza hapaUkipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Aisee una ujasiri juzi tu wamekuibia kwa aina mpya utapeli pale MLIMANI city ukasema wakakuibia 320,000 na mil 2 wakatoa ATM leo umekuja na ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba.Hongera sana bado upo fitUkipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Absolutely broUkipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Gari ni kiini macho fulani kizuri kwa wajanja kupata au kuongeza mtaji! Mf. Nataka mkopo wa 2M nianze business itakayotumia gari yangu. Faida:Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
Mjini wengi kwenye mapagala na sio nyumba.Heshima hapa town ni kuitwa baba mwenye nyumba.na sio baba mwenye miladi au pesa
Mjini wengi mnaishi kwenye mapagala na sio nyumba.Heshima hapa town ni kuitwa baba mwenye nyumba.na sio baba mwenye miladi au pesa
Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.Yootee nakubaliana na ww ila nyumba ya kulala sio ASSET hata siku Moja.
Asset as anything that puts money in your pocket. A liability is anything that takes money out of your pocket.
Issue ya mtoa hoja inaeleweka. Hoja ni unaanzaje kujenga, ukiwa stage ipi ya maisha, na je,ni lazima kutumia style inayoonekana ni bora kwa jirani yako? If at all,people had common minds, nobody could think of making an aeroplane! Somebody may decide to buy a car,to simplify his bussiness while other use such opportunity to sweet maids!Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
Nyumba inapotumika kama dhamana ina leta pesa pia...usikariri vitabu na maisha west kwenye maisha halisi ya kibongo,ukishasoma,pima na ujiridhishe kwenye actual situation.Yootee nakubaliana na ww ila nyumba ya kulala sio ASSET hata siku Moja.
Asset as anything that puts money in your pocket. A liability is anything that takes money out of your pocket.
Priorities is what makes us to be as we are.Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
There you're.Kila mtu na kipaumbele chake jamani.
That's good to some extent.Binafsi naamini ukipata pesa inayotosha kufanya jambo itumie kufanya ilo jambo, siyo ku beep beep mwishowe charge itaisha mkuu.
SomehowUSIKARIRI.
Kila mtu ana Timeframe ya nini afanye katika muda Fulani na nini asifanye.
Kila mtu ana KIPAUMBELE chake in a certain period of time .
Maisha hayana FORMULA. Nitapitia Njia yangu na SITAFELI
Your priority decides your decisions.Yaanj uache kununua gari ujenge nyumba?,??? Sasa utazungukaje mjini kutafuta pesa