Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Well said to some extent.Haya mambo ni kama kubahatisha, unaweza kuchagua kufanya moja kati ya hayo na ukaona matunda yake, au ikawa kinyume chake.
Wangapi wanaanzisha biashara na zinaanguka?
Kutambua kipaumbele nayo inahitaji elimu na utu uzima,uwezi kuwa na wazazi wananyeshewa mvua na wamekusomesha alafu eti wewe kipoumbele chako ni kwenda kutalii nje ya nchi.so kipoumbele lazima kihojiwe hata kama ni chakoYour priority decides your decisions.
Jamaa haelewi hilo. Hapohapo unaweza ukapangisha baadhi yà vyumba pesa inaingia, iweje aseme siyo asset?Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
Watu hawajui tubu kujenga nyumba yataka akili ana ukikurupuka unaweza jenga na ikaishia katikati au hata ikaisha ila ikaja kuuzwa na bank maaana baada ya kujenga miradi au biasha inayumba mwisho wa siku unaenda kukopa bankMhindi amepanga national housing pale mjini anavi8 lake na jpil hafungui duka anakula bata kama kawa wew uliejenga unamzidi nn kila mmoja na kipaumbele chake
Hiyo hera uliyotumia kujenga hiko chumba 1 ungewekeza kwa miradi yako, biashara nk saa izi ingekuwa imezaa bei gani na ukisha kuwa pesa ya kutosha si ungejenga nyumba yako hata ghorofa bila wasiNimenunua kiwanja nimejenga chumba changu kimoja sina tatizo na mtu.
Sawa kabisa mkuu we umenielewa sana kumbe sikatazi watu kujenga no ila unajenga uko na hali gani je unapesa ya ktosha kujenga na kuendesha mambo yako!? Au unajenga unamaliza pesa yote hata kiashara inaisha baadae uje ukope bank ushindwe kulipa waje kuiuza nyumba yako?Issue ya mtoa hoja inaeleweka. Hoja ni unaanzaje kujenga, ukiwa stage ipi ya maisha, na je,ni lazima kutumia style inayoonekana ni bora kwa jirani yako? If at all,people had common minds, nobody could think of making an aeroplane! Somebody may decide to buy a car,to simplify his bussiness while other use such opportunity to sweet maids!
Sio wote wanaonunua gari inakuwa kipaumbele bali kukurupuka na kufuata mkumbo ili aonekane nayy anazo nkhata gari ni sehemu ya nyenzo muhimu kwa maisha ya binadamu. Tena wakati mwingine kuliko hata nyumba kutegemeana na mahali na mahitaji.
Sio wote wanaonunua gari inakuwa kipaumbele bali kukurupuka na kufuata mkumbo ili aonekane nayy anazo nk
Hamnaga kitu kama hicho duniani mkuu.Kaka Nyumba ni asset kubwa sana,imagine unapanga nyumba unalipa laki mbili na nusu kwa mwezi,ukijenga na kumaliza hiyo laki mbili na nusu itakuwa inaingia kwenye account yako.
Tunapangiana matumizi. AjabKila mtu ana mipango yake.
[emoji1]Tunapangiana matumizi. Ajab
Nakubaliana na wew kwa asilimia 100, mimi ni mhanga wa hii post yako, nilipata pesa, nimejenga nyunga japo inanisitiri lakini mfukoni sina kitu kabisaUkipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Ni mtazamo tu lakini sio sheria wala njiauko sahihi sana mkuu