Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea[emoji38]
Ukute ni wewe maana naye yuko humu I guess 80%
Basi anasema yeye kaoa mke tu hajaoa familia. Mke kwake sio ndugu ni life partner muda wowote anaweza kumuacha akaolewa kwingine ila ndugu zake atabaki nao. So anaishi na mkeww kama kutake risk.
Anakuambia kama ndugu wa mke walikua wanaishi vizuri kabla ya kumuoa mwanao basi hata alivyomuoa wanaweza kuishi vizuri. Hivyo wasitegemee msaada wowote toka kwake...kao mke tu sio ndugu au wakwe.
Jamaa anapoint ila kuzishika hizo sheria binafsi Yahitaji uwe unaujasiri wa kimasai kama alivyo masai.
Nikikumbuka module ya Respect Value kwenye Life skills basi naona yupo sahihi..maana kila mtu na Value zake
HakikaHuu uzi umenifunza mengi,
Nazidi kuchukua taadhariπ
Shida ya kulala vikaoni ukitoka hakuna ulichosikiaUliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Hapo aombe asikutwe na matatizo akahitaji msaadaNina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojiteteaπ
Dhumuni la waraka huu ni kuhusu hapo nilipopakoleza;Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Mkuu BAK upo salama kiongozi.. nice to see you hereMgogo aoe Mnyaturu ππππ
kadanganywa aliambiwa ukimuoa mwanamke wa kichaga mnatajirika harakaKwani Ni lini wagogo wameacha kuomba omba wakaanza kuoa?
AstakhafirullahWagogo mtihani Sana Kama furushi la nnya.
Ndugu yako kapenda mchaga muacheni tu aoe ila aishi naye kwa akili SanaNdugu yangu,kakomaa anataka aoe Mchaga,ngoja tuone mwisho wake.Ndugu zangu wamemtahadharisha,ila hataki.