Ha ha ha!
Jana ofisini nilikuwa natafuna chewing gum yangu, nikaenda dining nikakuta avocado zuri; l took a peace, kimbembe kimekuja nifanyaje na my chewing gum ambayo ndio kwanza nimeiweka mdomoni.
Guess what?
Nikula hicho kipande cha chichi na chewing gum ikiwa mdomoni. As the result, chewing gum ilikuwa laini zaidi. You should try it!
Kwa maana ya msemo huu, don't try it!