MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wanakuza mambo sana walokoleMwenyewe navaa zilizotumika Ulaya halafu niende dukani nikanunue mpya kuwapa yatima!.
Waweza kuwa na nguo nzuri lkn huzitumii kwaiyo unashauri bora zitupwe kuliko kuwapa yatima.
Halafu ni akili mbovu kutoa misaada kwa mategemeo ya kupata swawabu au baraka.
Ningekua na kituo cha yatima ukaleta nguo zako ulizovaa ningekufukuza haraka sana bila kufikiria mara 2.Tatizo linaanzia hapo kwenye kujifananisha na Mungu.
Choma motoDah tukitupa shida tukigawa shida,
umeongea vyema ila jina lako linakusaliti.Kila mtu anapaswa kujua kwamba ili Mungu akubariki ni lazima utoe kilicho bora zaidi na sio kitu ambacho hata hukihitaji tena.
Hata Mungu alimtoa mwanae wa pekee kama tunavyoamini sisi wakristo. Angeweza kumtoa mmoja wa malaika wake lakini alitoa kilicho bora zaidi.
Ikiwa unataka kuwapa watoto yatima nguo, nenda dukani, nunua nguo mpya na uwape. Au uza nguo zako ulizotumia na utoe hizo pesa wakajinunulie.
Nguo ulizozitumia hazina tofauti na makombo ya chakula.
ndo maana huna kituo cha yatima.Ningekua na kituo cha yatima ukaleta nguo zako ulizovaa ningekufukuza haraka sana bila kufikiria mara 2.
Sio lazima wote tuwe na vituo. Wengine tuwe donors tu.ndo maana huna kituo cha yatima.
Mungu huwapa uongozi wenye hekima na busara
Huu sio uzi wa siasaumeongea vyema ila jina lako linakusaliti.
vipi na mungu atakubariki kama ukiwaongoza binadamu wenzako kwa haki, bila kuwaumiza au kuwaibia stahili zao za kura
#NoReformsNoElection
Ndio maana hauna hicho kituo maana unawaza vitu visivyowezekanaNingekua na kituo cha yatima ukaleta nguo zako ulizovaa ningekufukuza haraka sana bila kufikiria mara 2.
Sijawahi kuwa na wazo la kuwa na kituo cha kulea yatima. Mimi nitabaki kuwa donor.Ndio maana hauna hicho kituo maana unawaza vitu visivyowezekana
Basi hilo suala tuachie wamiliki wa vituo tunapokea chochote kilicho kwenye hali nzuriSijawahi kuwa na wazo la kuwa na kituo cha kulea yatima. Mimi nitabaki kuwa donor.