USITOE NYWILA zako

USITOE NYWILA zako

Invisible JK

Member
Joined
Nov 8, 2019
Posts
26
Reaction score
75
images.jpeg

Tunajua wengi huwa tunapata itilafu katika simu ikiwepo kuvunjika kwa screen kwenye android na iphone.
Nakimbilio letu ni mafundi Ili warekebishe lakini tunampa faragha fundi ya kupitia Kila kitu.
Ni kheri kabla ya kutengeneza usimpe NYWILA au password zako na utafanya jaribio wewe mwenyewe ya screen.
Maana siku hizi mafundi wengi ukiwapa Kila kitu Wana install spyware kwenye simu za watu na kuchunguza Kila kitu kwenye simu Yako pasipo wewe kujua.
 
View attachment 2522936

Muswada umepitishwa toka kwa Rais wa mafundi simu wakiongozwa na Fundi Michael.
 
Back
Top Bottom