Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Oct 31, 2010 #1 Kama kuna mtu amemharibia JK ni Mkapa. Kumuita Lipumba kokoto? CUF unawaita kokoto kabla kura hazijapigwa Zenji? Mtaniambia kama huyo Shein atashinda. Nitakula maneno yangu. Tena nashukuru Ilirushwa Tanzania nzima kupitia TBC. Uitwe kokoto kabla ya kupiga kura halafu kesho yake (leo) uchague CCM?? Unalaana au??
Kama kuna mtu amemharibia JK ni Mkapa. Kumuita Lipumba kokoto? CUF unawaita kokoto kabla kura hazijapigwa Zenji? Mtaniambia kama huyo Shein atashinda. Nitakula maneno yangu. Tena nashukuru Ilirushwa Tanzania nzima kupitia TBC. Uitwe kokoto kabla ya kupiga kura halafu kesho yake (leo) uchague CCM?? Unalaana au??
C chanai JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 279 Reaction score 2 Oct 31, 2010 #2 Wacha wakafie mbali huko. Wameshaifilisi Tanzania kwa muda mrefu hao
M mtemiwao JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 384 Reaction score 46 Oct 31, 2010 #3 Pamoja na kutukanwa kwa ufahamu wa wtz wataipigia ccm kura,umesahau waziri wa mkapa alisema hata tule nyasi lakini lazma anunue ndege ya rais?wtz badala ya kuinyima kura waliipa ccm 80%win,hao ndio wtz bwana
Pamoja na kutukanwa kwa ufahamu wa wtz wataipigia ccm kura,umesahau waziri wa mkapa alisema hata tule nyasi lakini lazma anunue ndege ya rais?wtz badala ya kuinyima kura waliipa ccm 80%win,hao ndio wtz bwana