From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila mtu aone ambapo mtu baki akitaka kujua majina yako na nyumba unayoishi ni rahisi kupitia meter number.
Kama hutaki majina yako yafahamike au nyumba unayoishi, basi ukiscreenshot au ukituma mtiririko wa ile sms ya malipo, basi edit meter number.