From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Upo sahihi kabisa.. mkuu sema pia kama wameamua kulipisha mpaka wapangaji kumpata MTU sahihi itakuwa kazi Sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila mtu aone ambapo mtu baki akitaka kujua majina yako na nyumba unayoishi ni rahisi kupitia meter number.
Kama hutaki majina yako yafahamike au nyumba unayoishi, basi ukiscreenshot au ukituma mtiririko wa ile sms ya malipo, basi edit meter number.
Kwani kuna ubaya gani mtu akijua unako ishi na majina yako? Mbona unataka tuishi ki uogauoga kiuharifu, hata kwenye haki.Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila mtu aone ambapo mtu baki akitaka kujua majina yako na nyumba unayoishi ni rahisi kupitia meter number.
Kama hutaki majina yako yafahamike au nyumba unayoishi, basi ukiscreenshot au ukituma mtiririko wa ile sms ya malipo, basi edit meter number.
Hujanielewa. Hii ni kwa wale ambao post zao za nyuma zilikuwa za ukakasi.Hakuna kosa kwani ni uongo au umeiba?
Hakuna kosa kwani ni uongo au umeiba?
Hujanielewa. Hii ni kwa wale ambao post zao za nyuma zilikuwa za ukakasi.
Utakuwa umesaidia sana wakati wa triangulation. Ni mwanzo mwema.Upo sahihi kabisa.. mkuu sema pia kama wameamua kulipisha mpaka wapangaji kumpata MTU sahihi itakuwa kazi Sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dah,enzi za kuogopa zishaisha,Samia sio dikteta Kama Magufuli, Samia Ni muungwana,Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila mtu aone ambapo mtu baki akitaka kujua majina yako na nyumba unayoishi ni rahisi kupitia meter number.
Kama hutaki majina yako yafahamike au nyumba unayoishi, basi ukiscreenshot au ukituma mtiririko wa ile sms ya malipo, basi edit meter number.
Basi ni vizuri ukatumia majina yako halisi kuliko kutumia mulwanaka.Kwani kuna ubaya gani mtu akijua unako ishi na majina yako? Mbona unataka tuishi kiugauga kiuharifu, hata kwenye haki.
Mbona mpaka leo mmeshindwa kumpata Kigogo2014????tukiamua kukutafuta...tutakupata tu haijarishi...umeweka namba ya meter ama lah kikubwa tujitahidi kuheshimiana na kuheshimu sheria za nchi...kinyume na hapo utatafuta mbinu zote za kujificha hutoipata zaidi ya kuacha kabisa kutumia mitandao...ila usijidanganye kwa id fake wakikuhitajai wanakupata tu...labda ukubali kuishi maisha kama ya watu wa zamani...ila ukikimbizana na technologia wadakwa tu
Ni kweli kabisa, lakini tukumbuke kesi kati ya JF vs Serikali ni kwamba mmoja ana access na details zako, ilhali mwingine hana na ili azipate hizo details lazima JF ampe.Ukihitajika unajulikana tu...ukishakuwa kwenye internet, upo exposed kama mtu anayeoga kwenye banda la vioo
Rejelea kesi ya JF vs Serikali
Bado kuna vijana mpaka leo wanatukana kwenye mitandao. Matusi ni kosa la jinai.Dah,enzi za kuogopa zishaisha,Samia sio dikteta Kama Magufuli, Samia Ni muungwana,
tukiamua kukutafuta...tutakupata tu haijarishi...umeweka namba ya meter ama lah kikubwa tujitahidi kuheshimiana na kuheshimu sheria za nchi...kinyume na hapo utatafuta mbinu zote za kujificha hutoipata zaidi ya kuacha kabisa kutumia mitandao...ila usijidanganye kwa id fake wakikuhitajai wanakupata tu...labda ukubali kuishi maisha kama ya watu wa zamani...ila ukikimbizana na technologia wadakwa tu
Umeshasema niache uongo. Kwa maana hata nikikueleza utakuwa uongo.Acha uongo, mtu wa kawaida anawezaje kujua??
NdioUmeshasema niache uongo. Kwa maana hata nikikueleza utakuwa uongo.
Hahahahah wamefanya hivyo makusudiUpo sahihi kabisa.. mkuu sema pia kama wameamua kulipisha mpaka wapangaji kumpata MTU sahihi itakuwa kazi Sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]