Usitume mchanganuo wa malipo yako ya LUKU hapa jamvini kama hutaki kujulikana kirahisi

Mbona kigogo hawajampata
 
Waaache na
Waache na Vihelehele vyao! Nani kawatuma kutuletea screen shot zao humu ndani! Au ndio wanaomba msaada tuwalipie😂🤣😂😂😂😂!
 
Huwa hamkosi sababu mnaposhindwa.
Hapo umebashiri tu na hauna uhakika. Ukiitwa mahakamani utatoa ushahidi?
Walimpiga risasi Lisu mbona hawajakamatwa?
unajuaje kama kigogo sio anae iongoza nchi kwa sasa...? ebu jaribu kufanya wewe anayo yafanya kigogo tuone...
 
Hivi hayo makato huwa wanakata mara ngapi kwa mwezi??
mfano kuna watu huwa wanaongeza units hata mara tatu kwa mwezi
sasa wanakata kila unapoongeza au?
 
Hivi hayo makato huwa wanakata mara ngapi kwa mwezi??
mfano kuna watu huwa wanaongeza units hata mara tatu kwa mwezi
sasa wanakata kila unapoongeza au?
Makato ni mara moja kwa mwezi. Kwa sababu wanatumia mfumo wa komputer, basi ni rahisi kuset unachotaka na kwa muda gani.
 
Huwa hamkosi sababu mnaposhindwa.
Hapo umebashiri tu na hauna uhakika. Ukiitwa mahakamani utatoa ushahidi?
Walimpiga risasi Lisu mbona hawajakamatwa?
ndugu yangu kitanda huwa hakizai haramu...nchi yoyote dunia huwa inaongozwa kwa siri kali...kila mtawala aliepo madarakani huwa yupo teyari kuilinda hadhi yake kwa gharama yoyote ile...watu walinyongwa mfano Sadam hussein, watu walidhalilishwa kwa kuonewa mfano Gadafi...

sasa kesi ya Lisu ni ndogo sana kaa ukijua kuwa kila Rais anae Rais wake hivyo nchi hii ina wenyewe ambao sio mimi wala wewe ndio maana leo hii tozo zipo nyingi na hatuna cha kufanya...ila siku yoyote hao wenyewe wakigeukana wanaweza kutuletea mtu/watu walio husika kumpiga risasi Lisu...

tujipe muda kila kitu kitadhihirika tu...!
 
Mbona kigogo hajajulikana paka leo.
 
Unawezaje kujificha JF ukihitajika unapatikana tuu dakika yeyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…