Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Cc Mstahiki MeaHuku liwale wanapaka mwilini,wanasema ni mazuri sana na Yana lainisha ngozi,lakini swali la kujiuliza kwamba, ni ipi sehemu sensitive kati ya ngozi ya binadamu na tumboni kwa binadamu,maana kama ni mafuta ya kukamulia ng'ombe basi Moja kwa Moja yataingia kwenye maziwa na mwisho wa siku yataingia tumboni mwa binadamu kwa kunywa maziwa yaliyokamliwa kwa Kutumia mafuta haya.
Je, mafuta haya yaweza dhuru ngozi na yasidhuru vitu vya tumboni!?
Ni swali zuri, na kwa sasa yameshika kasi, haya harufu wala hiyo miwasho nimewahi yatumia nasubilia reactionHuku liwale wanapaka mwilini,wanasema ni mazuri sana na Yana lainisha ngozi,lakini swali la kujiuliza kwamba, ni ipi sehemu sensitive kati ya ngozi ya binadamu na tumboni kwa binadamu,maana kama ni mafuta ya kukamulia ng'ombe basi Moja kwa Moja yataingia kwenye maziwa na mwisho wa siku yataingia tumboni mwa binadamu kwa kunywa maziwa yaliyokamliwa kwa Kutumia mafuta haya.
Je, mafuta haya yaweza dhuru ngozi na yasidhuru vitu vya tumboni!?
Hili swali hata mwalimu wake wa chemia (chemistry) hawezi lijibu kama insvyotakiwa.Huku liwale wanapaka mwilini,wanasema ni mazuri sana na Yana lainisha ngozi,lakini swali la kujiuliza kwamba, ni ipi sehemu sensitive kati ya ngozi ya binadamu na tumboni kwa binadamu,maana kama ni mafuta ya kukamulia ng'ombe basi Moja kwa Moja yataingia kwenye maziwa na mwisho wa siku yataingia tumboni mwa binadamu kwa kunywa maziwa yaliyokamliwa kwa Kutumia mafuta haya.
Je, mafuta haya yaweza dhuru ngozi na yasidhuru vitu vya tumboni!?
Bora utumie nzi kwenye mfuko wa plasticVipi yanafaa kwa punyeto?