Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Kabisa kaka, tutafute pesaUkiwa huna pesa marafiki wanakukimbiq
Nakumbuka kuna mzee wangu mmoja alikuwa akinipigia simu kila siku . Akiniita mkuu ili nimnunulie kinywaji. Namnunulia hadi anatosheka na nauli juu nampatia. Mambo yalivyobadilika kidogo ahhh. Hata simu alikuwa hapokei kabisaKabisa kaka, tutafute pesa
Pole mkuu..Nakumbuka kuna mzee wangu mmoja alikuwa akinipigia simu kila siku . Akiniita mkuu ili nimnunulie kinywaji. Namnunulia hadi anatosheka na nauli juu nampatia. Mambo yalivyobadilika kidogo ahhh. Hata simu alikuwa hapokei kabisa
Pole sana ndugu yanguMimi niko upande wa pili, Kifo
āNiliumia sana pale nilipokwenda Tanga na kuambiwa kuwa rafiki yangu wa utotoni alifariki miaka kama 3 nyuma kwa ajali ya basi.
Nilikuwa nae na kusoma nae na kucheza nae, ila kumbe alifariki miaka 3 nyuma.
Hakika kaka..Duh kweli humu watoto wadogo sana , kuna umri mkifika hao marafiki tofauti na wa michongo tu hutawataka kuwa nao
Umenena vyema ndugu yanguUrafiki wa utotoni ndio wa kweli
Mimi marafiki wangu wa kubwa wapo humu jf tu kinyume na hapa sina rafiki wala adui wa kudumu ila nina maslai ya kudumuš¤Hakika kaka..
Marafiki wa mchongo wakijua una hela utaona simu nyingi
Mimi marafiki wangu wa kubwa wapo humu jf tu kinyume na hapa sina rafiki wala adui wa kudumu ila nina maslai ya kudumu
rafiki mkia wa fisiUmenena vyema ndugu yangu
Mimi marafiki wangu wa kubwa wapo humu jf tu kinyume na hapa sina rafiki wala adui wa kudumu ila nina maslai ya kudumu
Kabisa.. Wazee wa vitongarafiki mkia wa fisi