Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Kwanza niseme asanteni sana kwa watu wote waliowahi kusoma threads zangu au kunitafuta kuhusiana na biashara ya Real estate hasa katika Jiji jipya la Dodoma.
Kipindi nimeanza kuisikia biashara ya real estate kwakweli sikuitilia maanani mpaka pale nilipoanza kuifanya rasmi.Siwezi sita kusema Real estate ni moja kati ya biashara chache duniani zenye faida kubwa sana
Kwa wasioifahamu biashara hii mnaweza kupitia kwenye uzi wangu niliowahi kuielezea kwa kina kiasi na kama hutotosheka na maelezo hayo unaweza kuniomba nikutumie document ambayo nimeeleza kwa kirefu zaidi.
Kwanini ufe masikini?, Njoo tujiajiri(NAHITAJI WATU WATATU)
Watu wengi watakwambia bila kuwa na pesa nyingi huwezi kufanya biashara ya real estate,Tell them they're wrong.Why?Real estate ni biashara yenye matawi mengi sana ukiwemo udalali!!!Binafsi sikuanza na kitu lakini nilifanikiwa kuifanya na mpaka sasa naifanya(wapo matomaso ambao hawataamini).Ningependa kuweka humu testimonials lakini kwasababu zangu binafsi na hasa privacy and reputation sitaweza ila kama utahitaji basi ninaweza kukutumia bank slips and other testimonials to prove(Hii ni kwa wale commited people na sio wenye mizuka)
(Hivyo ndivyo nlivyoanza,bango mchoraji alikosea kidogo kwenye tafsiri)
Kuna msemo siku hizi watu wanasema "Ukiitwa kwenye fursa basi jua wewe ndio fursa yenyewe".I'm down to earth,nimeandika uzi huu nikiwa natafuta watu kadhaa(shabaha yangu ni watu watatu) ambao tutajoin force na kutengeneza A VERY SOLID TEAM na kuweza kufanya kazi pamoja,i strongly believe in Team work
Ningependelea zaidi kupata watu ambao hawana ajira na wana uchu wa mafanikio,huitaji kuwa na mtaji ila passion na biashara hii Bomba.Endapo unamtaji kiasi basi itakuwa vizuri zaidi!!!!
Nimefanya biashara ya Real estate na ninaendelea kufanya.Naiona impact yake na hasa kwa jiji hili jipya la Dodoma!!!Kubali/kataa muda wa kuikamata fursa hii katika mkoa wa Dodoma ndio huu.Naomba kwa yeyote yule aliye interested/passionate tuwasiliane nami sitosita kukueleza kwa kina kuhusu biashara hii na namna tunavyoweza kuifanya
NISINGEPENDA KUPATA WATU WA AINA HII
1.Watu wenye mizuka
Hii ni aina ile ya watu ambao huwa motivated haraka na kupoteza motivation haraka!!Hakuna biashara halali ambayo unaanza leo kesho unaamka na mamilioni,it takes time to build wealth.You need passion,and to be practical hakuna kitu kisicho na changamoto(Be strong as diamond) otherwise utaendelea na kubet,forex,online marketing na biashara zingine zisizo na tija ama za bahati nasibu ama ambazo utatumika kama fursa kwa manufaa ya watu wengine.
2.Watu ambao wana procrastination
I really need people who are go gettors,who are highly craving for success.sio watu wanaojivuta vuta siku zinazidi kwenda.Be commited,focused and start grinding immediately.There is a saying that goes by
"If you want to be successful ask yourself the following four questings"
1.WHY?
2.WHY NOT?
3.WHY NOT ME?
4.WHY NOT NOW?
And these are among the enemies of your potential;
Fear,discouragement,past failures,opinions of others,comparison,wrong environment,family pressure,society's pressure
All you got to do is stick to your guns
Asanteni sana
0767833496(whatsap)
0622111186