NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Jamani mnaukumbuka mwanzo!! This is a beautiful point of reference.
Unakumbuka ulipokutana na mwenzako mara ya kwanza?
Unakumbuka ilikuwa ni maeneo gani?
Unakumbuka ni nini ulimwambia? Zile ahadi zote unazikumbuka (au unakuwa kama mwanasiasa kutoa ahadi kutafuta kura then byebye)?
Unakumbuka ni kitu gani cha kwanza ulimfanyia au ulimnunulia?
Ni nini cha pekee unakumbuka?
Unajua umuhimu wake katika kulipa uhai penzi lako leo?
Uko umuhimu wa kukumbuka ulipoanza katika kudumisha mahusiano yenu. Kumbuka leo, mkumbushe mpenzi wako.