JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Watu hawapaswi kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi, kwa kuwa barakoa zinaweza kupunguza uwezo wa kupumua vizuri.
Jasho linaweza kufanya barakoa iweze kuwa na unyevu haraka zaidi ambapo itafanya kuwa ngumu kupumua na kusababisha kuwepo kwa vijidudu.
Kitu muhimu cha kufanya wakati wa mazoezi ni kukaa umbali wa angalau mita moja na wengine ili kujikinga na virusi vya Korona