Usivae nguo ya ndani ewe mwanamke, utapata tabu sana

Usivae nguo ya ndani ewe mwanamke, utapata tabu sana

Unazingua miss Ina maana mpaka niende YouTube mambo gani hayo.si ungetuwekea wewe hizo hoja zake
Huyo tunafanana
Screenshot_20181118-160645.jpg
 
Ila kweli hata sisi wanaume tungekuwa hatudindishi tungekua hatuvai boxers hazina maana.nawashangaa nyie kina dada mnavaa chupi sijui za KAZI ganj
 
Chupa ni Cana ka pazia kanazuia mengi, hata ukianza period yale matone ya mwanzo yanabaki kwenye chupa. Sasa ikiwa nyeupe inabidi uiloweke na omo
Huo muda wa kufua vyupi wengine hawana
Screenshot_20181118-160645.jpg
 
Back
Top Bottom