Usivae nguo ya ndani ewe mwanamke, utapata tabu sana

Ila kweli hata sisi wanaume tungekuwa hatudindishi tungekua hatuvai boxers hazina maana.nawashangaa nyie kina dada mnavaa chupi sijui za KAZI ganj
 
Chupa ni Cana ka pazia kanazuia mengi, hata ukianza period yale matone ya mwanzo yanabaki kwenye chupa. Sasa ikiwa nyeupe inabidi uiloweke na omo
Huo muda wa kufua vyupi wengine hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…