Usiwaamini sana matajiri

Usiwaamini sana matajiri

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Wanatoa sana kafara ndio maana hawataenda mbinguni
20250313_180303.jpg
 
Usione vile kina baresa wote wale
Walianza chini mfano baresaa alikua anauza kahawa....

Alafu utajiri ni kujua code tu zimefichwa ndo mana matajiri wengi wana roho mbaya.

Matajiri wengi ni frimason hata diamond ni frimason na mwenzake alikua kanumba.

Usione watu kariakoo kule wana maduka tu lakini wana mambo yao mfano kuna duka nilikuta Lina ungua nikaona jamaa anatoa paka tu.....

😀😀😀😀😀😀😀😀 Ujinga ujinga tu na mimavi kibao kichwani...
 
Frimason ni nini?
 
Back
Top Bottom