Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Kusoma kozi ya mapenzi πMapenzi yafutwe mnaopendana muende VETA
KabisaUzi wa kulaliaππ€πΏ
HahahaKusoma kozi ya mapenzi π
πUpo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
Amekuwa aki-quoate hewa mda mrefu sanaπ€£π€£π€£Na wewe uelekee VETA π
Mtu wa 40 anatafuta nini kwenye hizo ligi? Huyo si keshasettle?Upo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
HahahaMtu wa 40 anatafuta nini kwenye hizo ligi? Huyo si keshasettle?
Si ndio.. kwanza nikuache namuachia nani? Nikienda nikikuta yaliyomo hayamo narudia makabichi yangu π«©Kupasha sio dhambiππ
Kabisa.Acha uchoyo mkuu tulia watu wapashe makabichi
Kwani Walipokutenda uliyatupa baharini?Hivi kumbe mapenzi bado yapo?
Umewaza nini?Upo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
Yapo sanaHivi kumbe mapenzi bado yapo?
Kawaza mbaliUmewaza nini?
Kumbuka na Magonjwa πKwani Walipokutenda uliyatupa baharini?
Exactly π―Si ndio.. kwanza nikuache namuachia nani? Nikienda nikikuta yaliyomo hayamo narudia makabichi yangu π«©
Kwanini huna elf 5 ya rough rider?Kumbuka na Magonjwa π
DuuExactly π―
HahahaKwanini huna elf 5 ya rough rider?