Usiwe na haraka unapohitaji mpenzi wa kweli mtandaoni.




Well said. I Love it...:cheer2:
 
hakuna paka anayefundishwa kuwinda panya.na siku zote hakuna mjanja wa mapenzi.unaweza ukawa na halaka ukafanikiwa,vilevile ukajifanya huna halaka ukakuta mwana si wako.
mfano mdogo ni maisha ya kawaida;
unakuta mtu ndo kwanza mnaanza kuzoeana mala anaanza maswali...tutaenda kujitambulisha lini?mala una mpango gani na mimi?yaani unakuta ana harakaharaka.so hata kwenye mtandao inabidi iwe hivyo ili mtu ajue moja.mimi nikipenda huwa natangaza nia hapohapo.
faster ndo dili.mia
 
Ahsnte Husninyo but...Logic will get you from A to B. Imagination will take you everywhere.
 

umeongelea upande mmoja tu. Vipi kuhusu ubavu wa kushoto?
 
umeongelea upande mmoja tu. Vipi kuhusu ubavu wa kushoto?

Waandike point ila ziwe za ukweli wakisubiria kuwa noticed na kutembelewa kwenye profile kabla ya PM kumiminika!!!
 


asante Husninyo kwa wazo lako,
lakini kumbuka kuwa haya mambo hayana formula mama,
unaweza kuta jamaa akafuata hizo procedures zote ulizotoa ,
lakini kumbe mwisho wa siku shida yake ni kudonoa tu na kuingia mitini,
halafu yule anaeulizia namba za simu na kutoa shida zake kwa uharaka,
anaweza kuwa ndio mpenzi wa kweli na mwenye nia!
stuka hapo Husninyo!
 
Ushauri mzuri Husninyo....nakubaliana na ww kuwa yahitajika watu wafahamiane walau kidogo kuweza kuanza hatua za kimapenzi....napata shida na hofu sana na watu wanaokuja kama vile wametumwa au wameambiwa watakufa karibuni na hawataki kufa kabla hawajaoa...mtu anakuuliza unapenda chupi ya rangi gani siku ya kwanza ana PM....anyway, Mungu atusaidie,tusije wakataa wachumba wanaokuja kwa fujo...lol
 
All the best watafutaji, msikate tamaa. Well said husninyo
 
Ni ushauri mzuri. Hii si kwenye mtandao tu, ni katika maisha yote. Mashaka ni kuwa hili la muda haliendani na tabia ya mtu, watu wengi wanataka cha uvunguni, hawainui kitanda, bali wanapinda mgongo mpaka unauma.
Jambo la muhimu ni kumuomba ajuaye siri zetu za moyoni akuambie.
 
umemalizaaaaaa.....
 
Dah!!! Huyu ana hatari kweli
 
Hunsinyo, wewe ni He au She? I hope hili swali halitokukwaza...btw, umefikiria kina kweli kweli kwenye hii thread..Kazi kwa watafutaji🙂)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…