Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu

Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu

Uoga wako ndiyo umaskini wako. Risk ipo kokote. Ukiendekeza uoga utashindwa kukutana hata na mtu wa mtaani kwako.

Kutana na mtu yeyote popote lkn chukua tahadhari
 
Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Wamekufanyaje.? Bila shaka hawajakuumiza vibaya 😂
 
Uoga wako ndiyo umaskini wako. Risk ipo kokote. Ukiendekeza uoga utashindwa kukutana hata na mtu wa mtaani kwako.

Kutana na mtu yeyote popote lkn chukua tahadhari
Tahadhari kwa namna gani? 🤔😳
 
mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Mtu hatujuani unataka tukutane ili iweje? unataka contact ya nn ewe shetani mguu Moja! Upuuzi upuuzi 🤣 wengine wa humu humu kbs na nomino kibao Moja anakuja nayo kisingo maza, Moja anakuja nayo kitanapa zaidi Moja ya mahubir dadeq
 
Inategemeana.. tuache kuhack michongo kwa kuogopa mtu mpya?
 
Acha uoga.Inategemea akili/mawazo yako unaweza vipi kuyaendesha kulingana na wakati.Kuna kipindi,mimi nikiwa JF nakuwa mtoto au mtu mzima na hata mzee.Cheza kwa kufuata mapigo kwa akili.
 
Back
Top Bottom