Wamekufanyaje.? Bila shaka hawajakuumiza vibaya πUsiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Ndio uhalisiaπ€£ππ wewe ndiyo umemalizia hivyo!πππ
Mtu hatujuani unataka tukutane ili iweje? unataka contact ya nn ewe shetani mguu Moja! Upuuzi upuuzi π€£ wengine wa humu humu kbs na nomino kibao Moja anakuja nayo kisingo maza, Moja anakuja nayo kitanapa zaidi Moja ya mahubir dadeqmwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Ukienda beba silahaUsiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?