Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu

Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Na kwanini ukutane nao?
 
Umewaza na kufikiria nini hadi kutuandikia haya maneno mazito hivi?
 
Umewaza na kufikiria nini hadi kutuandikia haya maneno mazito hivi?
Watu wengi huona AI kama mbadala mwepesi na rahisi kupunguza mzigo wa kazi, hivyo basi Wafanyakazi wengi kwenye taasisi hutumia hiyo mbinu ya kurahisisha kazi kwa kutumia AI hivyo wanajikutu wanaweka nyaraka muhimu za taasisi zao humo bila kufikiria madhara au nini kitakachojiri baada ya wao kufanya hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…