Usiwe rafiki na mtu asifiwaye kwa kugossip

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
1,902
Reaction score
2,488
Katika maisha watu huwa na wakati wana hamu ya kufuatilia habari fulani fulani za mtu ambazo ni za "gossip"
Na gossip huwa inavuta watu hasa kuifuatilia.
Ila kwa tathmini yangu nimebaini kuwa watu wanaopenda sana gossiping si watu wa kuwaamini hata kidogo, hawanaga urafiki wa kweli, huwa na tabia ya kukusanya siri na habari zako siku ukimzingua au mkazinguana basi anatumia habari zako kukuhumiliate.

Kwa ushauri wa bure kama una rafiki wa aina hiyo mfute kabisaaa kwenye orodha ya watu unaowaamini na hakikisha ana mipaka ya kukujua.

Tena kama una watu wa aina hii maishani mwako jitenge nao kabisa kuanzia kwenye maisha halisi hadi mitandaoni usiruhusu wakufollow mitandaoni ni watu wabaya sana.
 
Mkuu hayo mambo yapo yalikuepo na yataendelea kuwepo,hii dunia ili iende inawahitaji watu kama hao,cha msingi usiwe mtumwa wao,ila wewe ndo uwatumie
 
You need to live beyond their thinking..coz wanakusudi Mujaraab wanatimiza

Ukiwa chini huwezi ona umuhimu wao zaidi ya kero

Ila ukiwa Juu utafahamu kuwa ndio walinzi wa Mfalme

Hujakosea ila Jifunze kuwatumia

Kwakua wana vinasaba
Vya Ujibwa.Na hakuna dhambi kutumia Mbwa kama Ulinzi

Dhambi ni kumnyima chakula.

'Ngumu kumeza lakini ndio Ukweli'
 
Ashindwe yeye tu kuelewa,umefafanua vizuri Sana mkuu.
 
Katika maisha watu huwa na wakati wana hamu ya kufuatilia habari fulani fulani za mtu ambazo ni za "gossip"
Na gossip huwa inavuta watu hasa kuifuatilia.
Ila kwa tathmini yangu nimebaini kuwa watu wanaopenda sana gossiping si watu wa kuwaamini hata kidogo, hawanaga urafiki wa kweli, huwa na tabia ya kukusanya siri na habari zako siku ukimzingua au mkazinguana basi anatumia habari zako kukuhumiliate.

Kwa ushauri wa bure kama una rafiki wa aina hiyo mfute kabisaaa kwenye orodha ya watu unaowaamini na hakikisha ana mipaka ya kukujua.

Tena kama una watu wa aina hii maishani mwako jitenge nao kabisa kuanzia kwenye maisha halisi hadi mitandaoni usiruhusu wakufollow mitandaoni ni watu wabaya sana.
Jamaan wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji yashamkuta mwenzetu na anatupa wosia sasa asiyesikia la mkuu ivunjia mguuu
 
Back
Top Bottom