Enkulu
Member
- Sep 29, 2022
- 20
- 76
Kuna msemo maarufu sana unasema "Ukitaka kuwa tajiri jifunze kuweka akiba" ila mimi nakwambia kuweka akiba hakukufanyi uwe tajiri. Ukitaka kuwa tajiri jifunze kuzalisha pesa
Kuweka akiba si jambo baya, ni jambo jema sana sana tena sana lakini sio la busara. Akiba itakusaidia kutatua matatizo yanayokuja ghafla ila haitokupa utajiri.
ANGALI MFANO HUU
Juma na Ally ni wafanyabiashara wa Biashara X. Wote wanaingiza kipato sawa kwa mwezi (1,000,000). Juma akaona ni busara kuweka akiba 20% ya kipato chake na nyengine atumie kwenye matumizi yake. Hivyo akiba ya juma ikawa 1000,000 × 20% = 200,000.
Ally akasema hapana mimi siweki akiba busara zaidi ni kuzalisha pesa na kuongeza kipato (kuzalisha pesa zaidi). Kwahiyo bwana Ally akachukua 20% ya kipato chake na kuweka kwenye uwekezaji utakaompa faida ya 12% kwa mwaka ( tuseme labda Hatifungani)
BAADA YA MIAKA KUMI (10 Years)
JUMA : Alieweka akiba ya 200,000 kila mwezi
[emoji736]Kwa mwaka 200,000×12 = 2,400,000
[emoji736]Kwa miaka kumi 2.4M × 10 = 24,000,000
[emoji736]Baada ya miaka 10 Mr Juma alikuwa na akiba ya 24M, ni nyingi sana ee?
[emoji736]Ni kweli ni nyingi
Haya tumuangalie Mr Ally
Ally aliweka 20% ya kipato chake kwenye uzalishaji utakaompa faida ya 12% kwa mwaka
[emoji736]2,000,000 × 12% = 240,000 (hii ni faida ya uwekezaji alioufanya kwa mwaka)
[emoji736]Ina maana mwisho mwaka Ally atakuwa na 2,000,000 (jumla ya pesa yake aliyowekeza) + 240,000 (faida ya uwekezaji wake)
[emoji736]Kila mwisho wa mwaka Ally atakuwa na 2,240,000
[emoji736]Baada ya miaka kumi, Ally atakuwa na jumla ya 22,400,000
____________________________________________
ALLY vs JUMA
22,400,000/= 20,000,000/=

KUMBUKA: Mr Ally na Mr Juma walikuwa wanafanya biashara moja, waliingiza kipato sawa kwa mwezi lakini baada ya miaka kumi walikuwa watu wawili tofauti. Mmoja alikuwa na 22M mwengine 20M
Kwanini mmoja akaja kuwa na kipato kikubwa kumshinda mwenzake ilihali walikuwa sawa miaka ya nyuma? Jibu ni Fupi na ni moja tu "MAAMUZI" Maamuzi aliyoyafanya Ally ndio yaliyomtofautisha na Juma.
JIULIZE: Maamuzi unayofanya leo juu ya pesa zako yataleta matokeo gani kesho? Je ungependa kuwa kama Juma au Ally?
Akiba ina hatari zake, unazijua? Uwekezaji pia una hatari zake, unazijua? Je unajua uwekezaji upi ni bora kwa wakati ulionao sasa? Ili kuyajua yote haya lazima kufanya tathmini ya kina kabisa
Kuna kitu kinaitwa "Compound Interest" unaijua? Ngoja nikudokeze;
Kama Mr Ally angewekeza mahali wanapotoa compound interest basi baada ya miaka kumi angekuwa na jumla ya 39,309,167/=
Unajua kwanini? Nitaandaa uzi mwengine kuelezea hii "compound interest" ni nini. Kwa kiswahili tunaweza kuita "riba jumuishi" japo sijui kama ndo kiswahili chake rasmi.
Anyway, Mimi nimefanya tathmini na kugundua Hatifungani ni moja ya uwekezaji utakaokupa zaidi ya matokeo ya Mr Ally.
UNAIJUA HATIFUNGANI?