JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Fikiria mara mbili kabla ya kuanika mtandaoni juu safari ya likizo inayokuja au kutuma picha wakati wa safari ya wikendi. Huwezi kujua ni nani anayeweza kuona habari hii na kuitumia kuvunja nyumba yako
Ikiwa mtu anajua unapoishi na ana nia mbaya, akijua kuwa utakuwa mbali na kwako kwa wiki mbili ni mwaliko wazi wa kuiba nyumbani kwako.
Kama njia mbadala na salama, usitume maelezo yoyote au picha kuhusu safari yako hadi utakaporudi.
Upvote
0