JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Taarifa zinazoonesha akiba yako ya pesa si vyema kuziweka mtandaoni ingawa unaweza kuwa na lengo kutaka watu wanaokuzunguka wafahamu kuwa kipato chako kimeongezeka.
Bado siyo wazo nzuri. Kila punje ya taarifa inaweza kusaidia wadukuzi kuiba utambulisho wako na kupata akaunti zako.
Usiwape msaada wa kufanya hivyo. Weka taarifa za fedha zako nje ya mtandao.
Upvote
0