Usiyoyafahamu kuhusu maandalizi ya AFCON

Hapo ukijumlisha nyayo stadium na Nambole bado viwili vinahitajika


Ee Mungu saidia tukose hii bid
 
Hapo umezingua ,nchi nyingi zilizoandaa afcon hazikua kabisa na viwanja vikivyokua approved walianza kujenga baada ya kupewa uenyeji ,mfano cameroon,Gabon,Equatorial guinea
 
Cameŕoon,gabon na equatorial guinea hawakua na viwanja kabla walianza kujenga baada ya kupewa uenyeji ,bora sisi tuna kimoja tayari
 
Naiombea Tanzania ushindi kwenye hii BID itaharakisha mchakato wa viwanja vipya vya michezo
 
Cameŕoon,gabon na equatorial guinea hawakua na viwanja kabla walianza kujenga baada ya kupewa uenyeji ,bora sisi tuna kimoja tayari
Ni mara ngapi kiwanja cha mkapa kimekuwa kibovu wameshindwa tengeza pamoja na kukusanya mapato yote yale mechi za simba na yanga

Wakaguzi wa caf super leugue wakaja wakafanya ukaguzi wakatoa changamoto chungu nzima mbona hawakuzifanyia kazi

Mwanga umekata mara mbili uwanja wa taifa mgeni mwalikwa akiwa waziri mkuu kwa mara ya kwanza . Pamoja na kutembelea kiwanja kupata report ya maboresho tatizo hilo hilo likajirudia tena mchezo wa yanga na Rivers United akiwemo spika mgeni rasmi


Sasa kama vitu kama hivyo vidogo wameshindwa umakini kujenga uwanja mkubwa wataweza ?
 
Naiombea Tanzania ushindi kwenye hii BID itaharakisha mchakato wa viwanja vipya vya michezo
Hamna lolote toka watangaze watajenga uwanja wa Dodoma mpka leo kiko wapi na miaka imepita serikali serious inajulikana tu .

Hata viwanja vya mikoani vya ligi vinatia aibu mnoo mbona wameshindwa kuvibires pamoja na kukusanya mapato bado unawaamin watejenga uwanja


Mungu saidia tukose tuepukane na hii aibu umeme ukatike katika ya mechi na wakati huo dunia nzima inaangalia sijui itakuwaje
 
naungana na wewe
kwa sababu ya ubabaishaji wetu TUKOSE hiyo Bid
 
Kuna land cruisers mpya hatari sana magari yanatisha makubwa mazuri mno yanapita pita kitaa new model! sidhani wataacha kuagiza hayo magari ya kutafuna Kodi za wajinga eti wajenge viwanja! Wa kuandaa Afcon bado wako vidudu! hao waliopo sio kipaumbele! Kwanza kwenye ilani hakuna hizo issues za sijui Afcon!
Labda kama Magu angekuwa hai mkamshawishi! Kwa masifa ya kufurahisha wanyonge mwamba angeandaa!

Kitu kizito ni kujaza uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga jumapili!
 
It is known, the host nation has an automatic qualification to the tournament.

On the the above basis,which country will it be granted the favor? I pray it be Tz.

Maana tunaweza andaa na timu yetu ikashindwa kufuzu 🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo tunapenda mpira, ila timu yetu sasa.

Nimepitia FIFA, kwenye kombe la dunia la 2026, litalalokuwa na timu 48 basi wale co-host watatu, wanafuzu moja kwa moja.

Je, CAF ipo hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…