Usiyoyajua katika 617 Flat Body

Usiyoyajua katika 617 Flat Body

jeff mahugi

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
7
Reaction score
17
ZIJUE GARI 6D17

Mwaka

Nigari ya mwaka 1998 lakin bado ipo vizuri na inafanya vyema kabisa katika tasnia ya ubebaji mizigo na haijawai kutuangusha katika hilo.

Cubic centimeter (cc)
Ina 8200 cc kama tipa hizi tani nane Hii inatupa ishara nzuri kuwa gari hii ni economy.Katika utumiaji mafuta. Jambo usilojua ni kwamba gari hii ina tumia diesel.

6D17 engine
Hii ni injini mahsusi kabisa kwa kuifanya gari hii uitakavyo yaani kuifanya ikuingizie mkwanja wa kutosha hii injini ni kiboko. Usipaime aisee. Wale wazoef wa magari wanajua hilo.

Mileage
Mwendo ilioupiga ni 641000km tangu iundwe kibongo bongo bado tunafursa ya kuitumia hii gari bila changamoto yeyote ile.

Body
Bodi yake ni standard bado inaita chuchu saa sita hata bila ya kuoshwa inmetameta.

Bawaba
Gari hii ina bawaba 11 kitaalam utabeba vitu mpaka.

UZITO
Gari hii kutokana na uwezo wake kitaalam inauwezo wa kubeba mizigo kg7000 kwa wakat mmoja.Lakn wale wazee wa kuchakachua mpaka tani 9 tunachukua kwa wakat mmoja.

BEI
Bei yake pamoja mambo ya clearing and forwarding mpaka inafuka Dar au mombasa kenya ni pesa taslim Mil 42,901,5000tsh ambazo ni sawa na 18,500 usd

Mawasiliano
Whatsapp/ call +255 769 103 506
Please share
#FUSO
#truckers

#tanzania
May be an image of outdoors
 
Back
Top Bottom