Usiyoyajua Kuhusu Batuli

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Yobnesh Yusuph ndiyo jina lake alilopewa na wazazi wake.

1. Ni mwigizaji brand kwa sasa kwenye soko la film , aliingia rasmi 2008 kupitia movie ya Fake smile iliyoandaliwa na marehemu kanumba, na ndipo jina la batuli lilipotokea kwenye hiyo filamu.

2.Baba yake ana asili ya Ethiopia na Somali huku mama yake akiwa mbongo, kabila lake ni msukuma.

3.Ni mama wa watoto wawili, samir(10) na malima(6).

4.Marehemu kanumba alimuomba aigize kwenye filamu yake ya OPRAH, yeye akakataa kwa kisingizio kuwa hawezi kuigiza katika uhusika wa kimapenzi, ingawa zipo baadhi ya filamu ameigiza scene za mapenzi. Nafasi yake ilichukuliwa na uwoya ambaye aliitendea haki filamu hiyo na ndiyo iliyompa umaarufu zaidi.

5.Alishawahi kujitengenezea bifu na msanii mwenzio uwoya na kuipeleka global publisher, hata hivyo waandishi waliijua hii mapema.

6. Juzi tu alianza kuji celebritisha na kuongopea watu mitandaoni kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na chief kiumbe, kisa aliazima gari kwa chief ili akaigizie filamu, chief mwenyewe alikana kuwa hana uhusiano wowote na binti hyo.
 

Mbona sielewi
 

Hehehe nyie mmemtandikia mwenzenu jamvi kumbe yuko humu humu hahaha warumi na team yako ni noumerrrrrrr...raha ya umbea msemwaji asiwepo ila huu ni wa grade 1 ...atakuja na account nyingine kujibu mapigo mda si mrefu subirini tu
 
Last edited by a moderator:
Hehehe nyie mmemtandikia mwenzenu jamvi kumbe yuko humu humu hahaha warumi na team yako ni noumerrrrrrr...raha ya umbea msemwaji asiwepo ila huu ni wa grade 1 ...atakuja na account nyingine kujibu mapigo mda si mrefu subirini tu

Mbeya siku zote binamu hasemagi uongo, aje apa akane tuongee na mengine mazito ambayo hamuyajui.
Cc : naipenda kazi yangi
 
Last edited by a moderator:
Napenda anavyoigiza ila tatizo ni Uwoya 'wanna-be'.....she used to look natural and very humble.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…