Sasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
Tupe story in detailsWe ni kama mimi mkuu,nilipandaga kamoja vile vidogo dogo vya abiria sita,sina hamu tena
Mimi naziona zinapita tu sina hata hilo wazo bora nipande pundaWe ni kama mimi mkuu,nilipandaga kamoja vile vidogo dogo vya abiria sita,sina hamu tena
Europe utaenda kwa melikebu kama walivyokuja kina Vasco Da GammaSijawahi kupanda ndege.lakini sijui kwanini naogopa kupanda ndege..
Na wala uwa sitamani
Tupe story in details
Europe utaenda kwa melikebu kama walivyokuja kina Vasco Da Gamma
Kama ya Yutong at leastUkitaka yawe kama ya bungalow.
Hahahahaha choo cha kike MpwaTundu la choo kipi ???, ujue kuna vyoo vya aina nyingi.
Bado unatumia vyoo vya kizamani ?! Tehtehteh...kijijini kwetu vyoo vya kizamani vimepigwa marufukuYale madirisha ya kipuuzi sana, dirisha utadhani tundu la choo
Hapa ndio akili zako zimefika...unapewa elimu ili ujue na uongeze maarifa unaleta ujuha wako.Kuna kipindi mtu anataka anunue mantonga,mikusu au embe sindano na mayai ya kuchemshwa unakwama kabisa.Hii siyo haki!Na ndiyo inasababisha nisipande zile ndege za Magufuli nyembamba kama mkojo wa asubuhi.
Hizi hapa ndege zetu mkuu unazozizungumziazile ndege zetu zamiaka ya 1960 wakati tunaikomboa afrika hazikuwa na hata madirisha
Hahahahaha choo cha kike Mpwa
Siie kwetu tunatumia sana tu MpwaBado unatumia vyoo vya kizamani ?! Tehtehteh...kijijini kwetu vyoo vya kizamani vimepigwa marufuku
Hahaha sisi kwetu kijijini vimepigwa marufukuSiie kwetu tunatumia sana tu Mpwa