Usiyoyajua kuhusu michuano ya klabu bingwa ulaya (Uefa Champions League)

Weka na hii mkuu,mchezaji pekee humu duniani mwenye magoli mengi katika hatua ya Robo fainali za UEFA kuliko wote Kuwahi kutokea,Si mwengine niiii...CRISTIANO RONALDO!!!

 
Record nyingine hizi Katika UEFA...CR7 Ni mchezaji pekee ambaye Ameshinda magoli 10+ katika kila Msimu wa UEFA kwa misimu 6 mfululizo Ya UEFA-CHAMPIONS-LEAGUE[RECORD] Na Mwenye Home Goals nyingi[RECORD] kuliko mchezaji yoyote yule kuwahi kutokea kwenye michuano hiyo.

 
Ile ya 2006 ya Ac Milan kushinda tatu na akarudishwa na liverpool. Vipi haimo?
 
We mwenyewe umetudanganya,aliekosa penalt alikua juanfran toress sio carasco
 
03/06/2017 tutaendelea vunja rekodi zingine
 

Real madrid nusu fainal mara 7 mfululizo acha uongo
 
Hii record yako umeibua wapi! Kweli vijana wa cku hizi mwendo kasi. Ebu fuatilia mfungaji bora wa magoli club bingwa ulaya ni nani kwa sasa.
 
Record nyingine ni hii ya real madrid kupoteza fainal yao ya kwanza dhidi ya juventus 3/6
 
Namba 7 umetudanganya.
No 7 hakudanganya ila tu hakuiorodhesha hiyo fainali ya 3 ya at.madrd japo sijui lolote kuhusu iyo fainali ya kwanza waliyocheza na Bayern lkn fainali mbili nimeziona kwa macho yangu
 
Hii record yako umeibua wapi! Kweli vijana wa cku hizi mwendo kasi. Ebu fuatilia mfungaji bora wa magoli club bingwa ulaya ni nani kwa sasa.

Wewe Jamaa nahisi haujielewi sio bure...Sasa UNACHOBISHIA NINI LABDA?,kwanza unapoquote comment ya mtu Siku nyingine uje kistaharabu sawa??,Wewe hushangai wengine wameisoma hii comment yangu na kuipita kama ilivyo???...KAMA SIO CRISTIANO RONALDO...INA MAANA WEWE NDIYE UNAYEMJUA MFUNGAJI BORA WA UEFA OF ALL TIME NA MWENYE MAGOLI MENGI KULIKO WENGINE HUMU DUNIANI KWENYE MICHUANO HIYO...HAYA MTAJE BHASI????...SI MBAYA UWEKE NA EVIDENCE HAPA WOTE TUONE....Usilete BlahBlah! tu with no reasons,Usifikiri kila mtu anafanana na Huyo mwenye kiduku uliyemweka kwenye avatar yako hapo,Inawezekana hujapenda kwamba "KWANINI NI CR7"...Pengine humpendi na sio fans wake ila jitahidi kuvumilia maana ndio mpira ulivyo na ndo AMESHAKUWA YEYE SASA NA HAKUNA NAMNA NYINGINE...SUBIRI LABDA UNAYEMTAKA WEWE ATAKUJA KUFIKIA HIYO RECORD YA JAMAA YA UFUNGAJI KATIKA UEFA KWA WAKATI WAKE UKIFIKA ILA KWASASA "CRISTIANO RONALDO NDIYE ALL TIME TOP SCORER IN UEFA CHAMPIONS LEAGUE ANAYEJULIKANÀ NA HILO SHIRIKISHO LA MPIRA ULAYA(Union Of European Football Associations/UEFA) NA FIFA"...Jaribu kufanya review kwenye hii list ya wafungaji UEFA hapo chini na Pages kutoka UEFA.com itakusaidia na hata usipoelewa natumaini utapata kitu hapo...Unless Otherwise unataka Arguments za kishamba!!!



I Know him Since day One in [HASHTAG]#ManU[/HASHTAG] despite of being a Spurs Enthusiast ,He may not be the FINEST FOOTBALLER to ever live but HE IS A COMPLETELY OUTSTANDING GOAL-SCORING MACHINE TESTED TO THE LIMIT.....A Magnificent ONE!!!

Ilikuwaga ni debate kubwa sana kuwa ni mchezaji gani humu duniani atakuwa Wa kwanza kufikisha magoli 100 ya ligi ya klabu bingwa barani Ulaya...Akawa yeye [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] [RECORD-till now no player has reached that figure in [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]] ahead of Messi...Who's holding a record of 94 goals for UEFA ,Kumbuka jamaa bado goli 3 kama sio 4 kufikisha 600-CAREER GOALS...it's always him ,NA NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA NA PEKEE HUMU DUNIANI KUPIGA HAT-TRICK KWENYE FINAL YA "FIFA-CLUB-WORLD-CUP"[RECORD]...Hakuna mwengine kwa Sasa...That's an astonishing Record for him.The Guy is taking full advantage of his scoring ability!!!



[HASHTAG]#ShutUp[/HASHTAG] and enjoy his performance on the pitch!!!
 

STAY TUNED: Kuna historia mpya itaenda andikwa na REAL MADRID KWENYE HII MICHUANO Katika final ya Juve VS RealMadrid...hiyo June-3.
 
Iyo no 5 mi ndy sijaelewa au najichanganya,,nijuavyo mimi Barcelona ina uefa 4 + 11 Madrid au cvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…