Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Paschal alikuwa anawezana na chuchuchu wa Radio Tanzania na the likes. Hawa wa dotcom aingeweza ushindani wanataka 'Jina' na Paschal wanaomfahamu ni wale 40+

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kama first born wake, copy kabisa ile! pale hakukosea kama copier basi alitumia canon
 
Ok, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!
We kweli retired

Alafu watanzania wengi wapo kama wewe, mtu anapakaziwa dhambi ambazo hata shetani atamtetea, akili za kuambiwa changanya na zako na kwepa sana kushuhudia jambo ambalo huna uhakika nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…