Usiyoyajua kuhusu Senegal

Hapo Dakar,CBD yao ni nzuri kuliko ya Dar es salaam?
 
Mkuu kitimoto hujakitaja??
Proffesor,
Labda hujapitia comment za katikati huko.

Nmekitaja kuwa kuna sehemu wanauza wazi tu. Pia kinapatikana bar mbalimbali na baadhi ya wapishi ni waislamu.
Pia supermakert zinauza nyama ya nguruwe.

Kuna miji nilienda nilishuhudia wanyama hawa wamezagaa tu bila shida.

Lakini si holela kama Tz. Hata maeneo ya starehe na pombe si kila sehemu. Ni sehemu zinazokaliwa zaidi ma wageni pamoja na wenyeji.

Kwa Dakar utapata sehemu za almadies, mamelles, oukam, point E, Ngor, Yoff n.k hizi ni sehemu za hali ya juu kiasi.

Mikoani kuna miji kama Thies, St. Louis, Faikh (kama sikajokosea jina), kaolack n.k

Hizo ni sehemu nimepata tembelea na kushuhudia.
 
90% uliyoyaandika ni chai tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…