Usiyoyajua kuhusu Senegal

Hao sasa wanajielewa sio sie wazawa tunawalipa vijisenti na kuthamini wageni.
 
Hukusema Rais wa Senegal alivyomwambia Rais Ruto alipotaka kuingia kwenye mkutano wa AU.
"Wewe hatukuruhusu kuingia kwenye huu mkutano. Rudi nyumbani kwako,una matatizo ya Uchaguzi kule,nenda kayatanzue yale matatizo kwanza. Zifungue server,kama wanavyosema Wapinzani. Yule kiongozi wa Oppostion anasema umeiba kura. Kwanza,hata sijui kama ni sahihi kumwita yule kuwa ni kiongozi wa Opposition. Yule,labda ndiye rais.
Unaiba kura halafu unadhani utaingia hapa? Sijali kama unanitazama kwa kukunja sura."(Hii sentensi aliirudia mara mbili,tatu in the course of his talk)
 
Ongeza wanawake wao ni matapeli wa kiwango cha SGR! Ukijichanganya na mwanamke wa kisenegalise umekwisha
 
Kuongeza kidogo,

Senegal ni nchi raia wana uvumilivu wa dini sana. Waislam na wakristo wanaishi kwa amani. Rais wao wa kwanza alikuwa Muislamu mzuri na mke wake mkatoliki mwaminifu.

Ni watu ambao wanasaidiana sana especially wakiwa nje ya nchi. Taasisi za kimataifa wamejaa wengi na wanapenda kusaidiana. Wakiwa nje ya Senegal wao cha kwanza ni Africa. Kwenye kazi Msenegal akiwa na fursa siyo rahisi kukutosa.
Kwao kila mweusi is a brother or a sister. Haijalishi umri.
Ni jamii ambayo dini ya mtu siyo kikwazo kabisa. Ni kawaida kugonga vyombo vyako jamaa akiwa anapiga kahawa yake au soda yake.

Mwisho, ni jamii ambayo raia wake wengi wana exposure na uelewa wa dunia kulinganisha na sisi.

Tanzania tuna changamoto kubwa sana linapokuja swala la kutafuta fursa nje ya mipaka yetu. Hata kutembea nje ya nchi waTanzania bado sana.
Siasa zao kama kwingineko zina mauzauza mengi lakini kuna heshima na Rais akishindwa uchaguzi anafunga virago tuu. Rejea, Abdoulaye Wade.
Senegal ina changamoto nyingi ila ina mengi ya kufunza wengine.

Asante mleta uzi kwa uzi powa.
 
Na labda kuongeza kidogo, waSenegal especially wenye uelewa wanamkubali sana JK Nyerere na Tanzania kwa ujumla. In fact kwa mataifa mengi ya West Africa, Nyerere anafahamika na kukubalika sana kuliko kiongozi mwingine yoyote wa Africa.
 
Tunashukuru kwa documentary yako nzuri sana, mliozunguka zunguka igeni mfano wa huyu ndugu kwani inatusaidia kujipima na kujifahamu kuhusu ustaarabu wetu na wao au wa mataifa mengine hakika nimejiona Tupo juu sana, Nimefurahishwa kusikia ni nchi ya wapenda mazoezi kila wakati.
 
Umesahau pia hao jamaa ndio watu wa kwanza kufunguka huko West kabla ya wanigeria. Na ndio wa kwanza kuwa matapeli wa kimataifa wanaigeria wanasubir.
 
Umesahau pia hao jamaa ndio watu wa kwanza kufunguka huko West kabla ya wanigeria. Na ndio wa kwanza kuwa matapeli wa kimataifa wanaigeria wanasubir.
Mkuu siku zote ukitaka kutoboa, jifunze kwa waliotoboa. Lakini pia kila jamii ina mapungufu yake. Jitahidi kadri unavyoweza kuangalia yale mazuri. Focus on the positive aspects. Ya utapeli achana nayo. Hata kama yana ukweli hayana msaada.
 
Mkuu nidanganye nipate nini?

Wapi nimesema mimi nimevaa jezi ya simba? Siwezi kuvaa na sitavaa.

Nimesema jezi ya simba wanaifahamu.....
Anakutoa tuu kwenye reli wahuni wanatafuta tatizo mimi huwa napenda kusafiri tukijaaliwa uzima ntapita hapo Senegal nina jamaa zangu Wasenegal kweli ni waaminifu mwingine yupo Johannesburg tuliwahi kuwa pamoja Cape Town ana maduka ya nguo mengi JHB ukimtumia hela akalipe sehemu akiichukua anaandika kwenye daftari nina pesa ya mtu fulani awe Mkenya au Mtanzania na inatakiwa iende sehemu fulani akiweka hela Bank anafuta kwenye daftari lake au Laptop yake...jamaa kanyoka mno mno... anamshangaa muislamu asieswali kabisaa...
 
Tembea uone
 
Karibu kila kaya ya msenegal ina ndugu nje ya nchi hususani Ulaya na America. Akina sie doh!
Sie kufungiana vioo na husda. Wasenegal roho zimenyooka.
Wana ustaarabu wa hali ya juu mno na ukarimu. Sio walaghai japo wanauweza ukenge vizuri tu.
Wanaaminika kuliko ndugu zao/wa west wenzao the likes of Nigeria na Ghana.
 
Na labda kuongeza kidogo, waSenegal especially wenye uelewa wanamkubali sana JK Nyerere na Tanzania kwa ujumla. In fact kwa mataifa mengi ya West Africa, Nyerere anafahamika na kukubalika sana kuliko kiongozi mwingine yoyote wa Africa.
aliongerea viongoz wa current , huez linganisha mkomboz wa afrika na rais wa tz tu ni TOFAUT
 
Ila kweli Tz tunahitaji kuamka kwenye huu usingizi wa pono. Yaani tunaridhika mapema mno. Sasa vijana wengi wanawaza kutoboa..ila ukiwauliza ni akili za ki-CCM.... CCM tu. Za kuteuliwa.

Tufunguke..huko duniani kuna fursa nyingi tuu. Ni kujipanga na kuziendea hewani. USA au SA unayoiona kwenye TV ni tofauti na uhalisia. Kila sehemu ina changamoto zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…