Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kila binadamu ni mbegu, ukizaa na mtu tegemea hao watoto wako watafanana tabia na muonekano sawa na uliyezaa naye hadi uwezo wa kiakili.. kabla haujafikiria kuchanganya damu na mtu hakikisha umejiridhisha kila kitu kuanzia tabia , muonekano wa huyo mtu na uwezo wa kiakili