Nimecheki baadhi ya video za USM Alger
Nimeona hawana mpira wa kutisha zaidi marumo ni Hatari kuliko wao
Labda kitakacho tuponza yanga ni ufupi wa mabeki zetu tu kwa hiyo tukiweza kuwadhibiti kwenye mipira ya juu tutakuwa tumewaweza Ivo
Maana wanatumia mipira ya juu zaidi hata Goli Zao nyingi kwenye mashindano haya wanatumia urefu wa washambuluaji wao tu kwa kupiga mipira ya juu
Wana press kwa nguvu dah job Na kibwana Mungu awe pamoja Na ninyi
Ila yanga wana mpira wao fulani ambao sijui unaitwaje nafikiri hata wao wenyewe hawajui wanachezaje maana sio kibeyern kile twende twende