kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Nimekutana na video hizi kwenye mtandao wa Facebook, mmoja kati ya wachambunzi wa mpira huko Algeria alikuwa amepost kuongelea Yanga.
Kuna habari zimenifurahisha na kunihuzunisha. Zilizo ni furahisha ni jinsi alivyokuwa anachambua video za Fiston Mayele na comment za mashabiki zao wanaonyesha wanamuogopa sana Fiston Mayele.
Habari zilizo nipa uzuni ni pale walipotaja moja ya madhaifu ya mabeki wa Yanga ni kupambania mipira ya juu na ni kweli. Naomba Mungu awe pamoja na mabeki wetu tu maana hawa mabwana kwa urefu na kwa mpira wao huu wa wajuu sijui itakuwaje.